Back

ⓘ Orodha - ya mapapa, ya makabila ya Kenya, ya milima, ya mito nchini Tanzania, ya Watakatifu wa Afrika, ya visiwa vya Uganda, ya Makaizari wa Roma, ya benki ..
                                               

Orodha ya mapapa

Orodha hii inataja Mapapa wote wa Kanisa Katoliki. Jina rasmi la cheo hicho kwa Kilatini ni Episcopus Romanus, maana yake Askofu wa Roma. Inawezekana kuwa Hermannus Contractus alikuwa mwanahistoria wa kwanza kuorodhesha Mapapa bila kuacha pengo. Orodha yake ilikwenda hadi mwaka wa 1049 ikimtaja Papa Leo IX kama Papa wa 154. Kulingana na hesabu hiyo, Papa wa sasa, Fransisko ni papa wa 268. Hakuna orodha rasmi ya mapapa, ila kitabu cha Annuario Pontificio kinachotolewa na Vatikano kila mwaka kina orodha inayoangaliwa kama rasmi. Kulingana na kitabu hicho, Fransisko ni papa wa 266.

                                               

Orodha ya makabila ya Kenya

Hii orodha ya makabila ya Kenya inatokana na orodha ya lugha za Kenya Ethnologue. Ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Kenya, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Kenya na nchi za jirani. Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi Kenya kama wakimbizi kutoka vita katika nchi za jirani, wala vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Arabia, Uhindi au nchi nyinginezo.

                                               

Orodha ya milima

Milima yote iliyofika mita elfu nane juu ya usawa wa bahari iko katika safu ya Himalaya: Manaslu m 8.163, Nepal, Asia Shishapangma m 8.012, Tibet, Asia Kangchenjunga m 8.586, Nepal - India, Asia Annapurna m 8.091, Nepal, Asia Gasherbrum I m 8.080, Pakistan - Xinjiang, Uchina, Asia Makalu m 8.463, Nepal - Tibet, Asia Dhaulagiri m 8.167, Nepal, Asia Cho Oyu m 8.188, Nepal - Tibet, Asia Lhotse m 8.511, Nepal - Tibet, Asia Nanga Parbat m 8.125, Pakistan, Asia K2 m 8.611, Pakistan - Xinjiang, Uchina, Asia Everest m 8.848, Nepal - Tibet, Asia

                                               

Orodha ya mito nchini Tanzania

Orodha ya mito nchini Tanzania inaitaja zaidi ya 2.000, lakini hiyo ni baadhi tu. Imepangwa kwa taratibu mbalimbali kama ifuatavyo: kadiri ya alfabeti. kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Hindi mashariki mwa nchi ama moja kwa moja ama kwa kuchangia Mto Zambezi kupitia Ziwa Nyasa, lakini kuna pia mito michache inayochangia Bahari ya Kati kupitia Ziwa Viktoria na mto Naili, na mingine tena Bahari Atlantiki kupitia Ziwa Tanganyika, huku mingine inaishia katika mabonde nchini kama la Ziwa Rukwa; kadiri ya mikoa inapopatikana;

                                               

Orodha ya Watakatifu wa Afrika

Hii Orodha ya Watakatifu wa Afrika inataja watu wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki au madhehebu mengine yoyote ya Ukristo kama watakatifu ambao walizaliwa, waliishi au walifariki barani humo.

                                               

Orodha ya visiwa vya Uganda

Kisiwa cha Kaserwa Kisiwa cha Ziru Kalangala Kisiwa cha Namubega Kisiwa cha Bagwe Kisiwa cha Lujabwa Kisiwa cha Galo Kisiwa cha Lukiusa Kisiwa cha Ntokwe Kisiwa cha Buvu Kisiwa cha Baga Kisiwa cha Ngabo Kisiwa cha Ziro Kisiwa cha Kibibi Kusini Kisiwa cha Buiga Wakiso Kisiwa cha Batwala Kisiwa cha Kibibi Kaskazini Kisiwa cha Namite Kisiwa cha Dwasendwe Kisiwa cha Limaiba Kisiwa cha Mawe Kisiwa cha Kiwa Uganda Kisiwa cha Sege Kisiwa cha Kerenge Kisiwa cha Lwabana Kisiwa cha Bulanku Kisiwa cha Kuiye Kisiwa cha Bugaia Kisiwa cha Mpande Kisiwa cha Luserera Kisiwa cha Ziru Buvuma lat -0.09, long ...

                                     

ⓘ Orodha

 • Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Orodha ya departements za Ufaransa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo
 • Orodha ya benki duniani kote inapatikana kibara kama ifuatavyo: Orodha ya benki barani Afrika Orodha ya benki barani Amerika Orodha ya benki barani Asia
 • Orodha ya makardinali wa Kanisa Katoliki huonyesha makardinali wote ambao walikuwepo tarehe 24 Novemba 2007. Papa ana haki ya kumteua kardinali bila ya
 • Hii ni orodha ya waandishi maarufu na mashuhuri kutoka Afrika, wakiwa pamoja na washairi, waandishi wa hadithi za watoto, waandishi wa riwaya, na wasomi
 • Picha: Calais Hotel de ville.jpg Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Ufaransa yenye angalau idadi ya wakazi 20, 000 2006 INSEE: Populations légales 2006
 • katika mwaka. Orodha hii inayohusu bara la Afrika inafuata takwimu za International Monetary Fund. Takwimu za mwaka 2016 ni kama ifuatavyo: Orodha ya nchi za
 • Hii orodha ya makabila ya Tanzania inaweza kuwa na matatizo kwenye majina kadhaa, kwa sababu mbalimbali. Orodha hii inatokana na orodha ya lugha za Tanzania
 • Ukarasa huu una orodha ya marais wa Kenya: Jubilee Alliance F5051c NARC PNU 0000CD KANU 2BAE45 Kenya Wakuu wa Serikali ya Kenya Makamu wa Rais
 • Hii ni orodha ya vyuo vikuu nchini Ghana. Kuna Vyuo vikuu vya umma saba katika nchi ya Ghana lakini pia kuna taasisi zingine zinazotoa shahada ya kwanza
 • Orodha ya Watakatifu Wafransisko ifuatayo inaripoti majina ya Wafransisko wote waliotangazwa watakatifu, sifa zao pamoja na miaka ya kuzaliwa na kufa kwao
 • Orodha ya vyama vya kisiasa nchini Kenya inatokana na nchi hiyo kufuata mfumo wa vyama vingi. Kenya ilikuwa na vyama vya kisiasa vilivyosajiliwa zaidi
Orodha ya Makaizari wa Roma
                                               

Orodha ya Makaizari wa Roma

Orodha hii inataja makaisari wa Dola la Roma kuanzia Kaizari Augusto hadi mwisho wa Dola la Roma Magharibi mwaka wa 476. Baada ya Dola la Roma Magharibi kukomeshwa, sehemu za Italia zilitawaliwa na wafalme wa mataifa mengine.

Orodha ya Makardinali
                                               

Orodha ya Makardinali

Orodha ya makardinali wa Kanisa Katoliki huonyesha makardinali wote ambao walikuwepo tarehe 24 Novemba 2007. Papa ana haki ya kumteua kardinali bila ya kutangaza jina lake. Uteuzi huu huitwa "in pectore" kilatini "moyoni". Hii inaweza kutokea hasa kama ni kardinali kutoka nchi pasipo uhuru wa kidini au nchi ambayo haina uhusiano mzuri na kanisa katoliki. Tarehe hii hakuwepo yeyote wa namna hiyo. Majina yamepangwa kufuatana na bara na nchi.

                                               

Orodha ya benki

Orodha ya benki barani Australia na Pasifiki Orodha ya benki barani Amerika Orodha ya benki barani Asia Orodha ya benki barani Ulaya Orodha ya benki barani Afrika

                                               

Orodha ya Mashirika ya Ndege Duniani

LAI - Linea Aerea IAACA Santa Barbara Airlines Linea Turistica Aerotuy Avensa LASER Aeropostal Alas de Venezuela Vensecar Internacional Sol America Aserca Airlines Rutaca Venezolana Servivensa Conviasa Avior Airlines Sundance Air Venezuela Aero Ejecutivos

Orodha ya balozi nchini Kenya
                                               

Orodha ya balozi nchini Kenya

Hii ni orodha ya balozi nchini Kenya. Kwa sasa kuna balozi/misheni za kidiplomasia 84 jijini Nairobi, na konsulati mbili jijini Mombasa. Konsulati zisizo rasmi hazijaorodheshwa hapo chini:

Orodha ya makampuni ya Tanzania
                                               

Orodha ya makampuni ya Tanzania

Tanzania Electric Supply Company Limited TANESCO Tanseed International Ltd Tanzania Railways Corporation Tanzania China Friendship Textile Company Tanzania Telecommunications Company Limited Tanzanian and Italian Petroleum Refining Company Limited

Orodha ya Urithi wa Dunia katika hatari
                                               

Orodha ya Urithi wa Dunia katika hatari

Orodha ya Urithi wa Dunia katika hatari inaorodhesha mahali palipoandikishwa katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO na baadaye kuonekana ziko hatarini kuharibika. Sababu zinazotajwa kama "hatari" ni pamoja na ujenzi, vita au mapigano, usimamizi mbaya au mabadiliko ya kisheria yanayoondoa hali ya ulinzi wa sehemu hizi. Sababu nyingine zinaweza kuwa za kiasili kutokana na mabadiliko ya kijiolojia, kama vile tetemeko la ardhi, tabianchi au mazingira.

Users also searched:

maana ya orodha,

...

Idadi ya watu mkoa wa kagera.

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Makamu wa Rais. Baada ya hapo, Ujerumani iliongeza Tanganyika katika orodha yake ya wakoloni 1979 – Majeshi ya Tanzania yanaingia Uganda, yakikamata 1992 – Katiba inarekebishwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi vya siasa. Wilaya za kagera. Online ppt form Tanzania Immigration. Nimeambatanisha Orodha ya wote waliouawa katika taarifa yangu hii, watu 68 wana majeraha ya vipigo vya nyaya za umeme, marungu,. Makabila ya mkoa wa kagera. ETIMOLOJIA YA MAJINA YA MAHALI YA KASKAZINI UNGUJA NA. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tovuti Rasmi ya Rais.


...