Back

ⓘ Teknolojia - ya nano, Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta, Historia ya teknolojia, Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts, Kifaa, Utarakilishi ..
                                               

Teknolojia ya nano

Asili ya neno ni kipimo cha nanomita ambayo ni sehemu ya bilioni moja ya mita. Hii inamaanisha vitu ambavyo ni vikubwa kuliko atomi na vidogo mara 1000 kuliko upana wa unywele. Hivyo teknolojia ya nano inalenga kupanga atomi na molekuli moja kwa moja na pia nje ya hali jinsi zilivyoweza kupangwa hadi sasa. Pale ambapo wataalamu wanafaulu kushughulikia mata yenye vipimo hivi vidogo sana, vinapatikana vitu vingi vinavyoonyesha tabia mpya ambavyo havikujulikana bado. Au vitu vinaweza kutegengenezwa ambavyo vimetazamwa kiasili hapa na pale lakini haikuwezekana kuvitengeneza kwa matumizi ya bin ...

                                               

Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta

Chuo Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta ni chuo kikuu cha umma kilicho karibu na jiji la Nairobi, Kenya. Chuo hiki kinapatikana mjini Juja, kilometa 36 Kaskazini Mashariki mwa Nairobi, katika barabara kuu ya Nairobi-Thika. Chuo hiki hutoa kozi katika Uhandisi, Sayansi, pamoja na Sanaa ya Uchoraji na Ujenzi. Chuo hiki kina nia imara ya utafiti katika maeneo ya teknolojia na uhandisi.

                                               

Historia ya teknolojia

Historia ya teknolojia ni historia ya ubunifu wa vifaa na mbinu za kutumia vifaa hivi katika uzalishaji wa mahitaji, bidhaa na huduma katika jamii. Kuna mbinu mbalimbali kupanga historia hii na kutambua ngazi za maendeleo ndani yake.

                                               

Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts

Chuo cha Teknolojia cha Massachusetts ni chuo maarufu nchini Marekani kilichopo kwenye mji wa Cambridge karibu na Boston katika mashariki-kaskazini ya nchi. MIT ina vyuo sita ndani yake na idara 32. Mkazo wake ni utafiti wa sayansi na teknolojia. Wanavyuo wa MIT wamepokea tuzo nyingi pamoja na tuzo za Nobel 63.

                                               

Shirika la Kimataifa la Usanifishaji

Shirika la Kimataifa la Usanifishaji ni shirika lenye wajibu wa kuandaa na kutekeleza vipimo vya pamoja kwa sehemu mbalimbali za teknolojia na uchumi duniani. Jina limechaguliwa kutokana na neno la Kigiriki ίσος linalomaanisha "sawa". Kuna mashirika mawili yanayoshirikiana nalo ambayo ni Kamati ya Kimataifa kwa Teknolojia ya Umeme na Umoja wa Kimataifa wa Vyombo vya Mawasiliano yanayoshughulika teknolojia za kuhusiana na fani zao na zote kwa pamoja ni Umoja wa Usanifishaji wa Dunia. ISO iliundwa mwaka 1947 kama ushirikiano wa nchi 25 zilizoamua kuunganisha jitihadi zao za usafinishaji. Mak ...

                                               

Kifaa

Kifaa ni kitu chochote ambacho kinaweza kutumika kufikia lengo fulani. Zana zinazotumiwa na wanadamu katika kurahisisha kazi au shughuli zao katika eneo fulani zinaweza kuwa na sifa tofauti kama "chombo", "mashine" au "kifaa". Baadhi ya mifano ya zana ambazo mara nyingi hutumiwa leo ni kisu, nyundo, bisibisi, koleo, simu na kompyuta. Seti ya zana zinazohitajika kufikia lengo ni "vifaa". Maarifa ya kutengeneza, kupata na kutumia zana ni teknolojia. Kuna wanyama wengine ambao hutumiwa na watu kama kifaa, kwa mfano siafu katika kutibu vidonda. Matumizi ya zana huchangia utamaduni wa binadamu ...

                                     

ⓘ Teknolojia

 • kufikia lengo ni vifaa Maarifa ya kutengeneza, kupata na kutumia zana ni teknolojia Kuna wanyama wengine ambao hutumiwa na watu kama kifaa, kwa mfano siafu
 • Mkusanyiko wa aina hii hulenga kuonyesha mifano ya sanaa, utamaduni, teknolojia au mazingira asilia kwa manufaa ya kuwaelimisha watazamaji. Kuna majumba
 • ulimwengu unaweza kuboreshwa zaidi na zaidi kutokana na mchango wa sayansi, teknolojia uhuru n.k. Upande wa jamii yanahusishwa na tarajio la kwamba binadamu
 • sana katika teknolojia ya simu, runinga, tarakilishi n.k. kama mfumo unaotumia namba kufichua alama za kielektroni. Makala hii kuhusu teknolojia ni fupi mno
 • sanaa, teknolojia elimu jamii na historia. Msanifu wa kwanza anayejulikana kwa jina ni Imhotep wa Misri ya Kale. Mbinu za usanifu hutegemea teknolojia inayopatikana
 • wanaohusika nao, fasihi, mafungamano, ndoa, michezo, ibada, sayansi na teknolojia Utamaduni ulioendelea unaitwa pia ustaarabu Kila utamaduni unabadilikabadilika
 • ya nyakati hizi ni mavazi ambayo yanaporomosha maadili. Teknolojia usambaaji wa teknolojia na mawasiliano kurahisishwa kwa kupitia aina mbalimbali za
 • Kikuu cha Kilimo na Teknolojia cha Jomo Kenyatta - Juja, Thika Chuo cha Teknolojia cha Kimathi - Nyeri Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Masinde Muliro
 • Unicode ni kiwango cha teknolojia ya habari inayotumika ili kurahisisha ubadilishano wa habari miongoni mwa watumiaji wa tarakilishi. Kahigi, K. K. 2007
 • ya pekee katika uwezo huo hata wakachangia zaidi maendeleo, k.mf. ya teknolojia Kwa kawaida mbinu iliyothibitisha ufanisi wake inaigwa na watu wengine
 • ni aina ya mawasiliano ya papo kwa hapo kupitia mtandao wa Intaneti. Teknolojia hii imeundwa hususan kwa ajili ya mawasiliano ya watu wengi kwa wakati
Utarakilishi
                                               

Utarakilishi

Utarakilishi ni utendaji unaotumia tarakilishi kwa kudhibiti na kuwasilisha taarifa. Vifaa na programu tete ni ndani ya utarakilishi. Utarakilishi ni muhimu katika teknolojia ya leo.

Dijiti
                                               

Dijiti

Dijiti ni tarakimu zinazoenea katika vidole kumi vya mkono wa binadamu, kuanzia 0 hadi 9. Siku hizi neno hilo linatumika sana katika teknolojia ya simu, runinga, tarakilishi n.k. kama mfumo unaotumia namba kufichua alama za kielektroni.

AIM-9 Sidewinder
                                               

AIM-9 Sidewinder

AIM-9 Sidewinder ni kombora la masafa mafupi hewa-kwa-hewa, yaani ni kombora ambalo hurushwa kutoka kwenye ndege na inapaswa kugonga ndege nyingine. Ilianza kutumiwa mwaka wa 1953 ikaingia katika vikosi vya hewa mwaka wa 1956. Ilikuwa inatumika wakati wa vita vya Vietnam sambamba na AIM-7 Sparrow, lakini haikuwa nzuri.

                                               

Aina ya uprogramishaji

Katika utarakilishi, aina ya uprogramishaji ni njia ya kupanga lugha za programu kulingana na umbo husika. Kwa mfano, uprogramishaji kiviumbile unatumika kwenye Python au JavaScript na uprogramishaji kikadhia unatumika kwenye Haskell au PHP.

Airbus A380
                                               

Airbus A380

Airbus A380 ni ndege ya injini nne, yenye sakafu mbili, iliyotengenezwa na kampuni ya Airbus. Ndiyo ndege ya abiria iliyo kubwa zaidi duniani, kubwa kuliko Boeing 747 Jumbo Jet. Hata hivyo, siyo ndege kubwa zaidi duniani; maana Antonov An-225 ni kubwa zaidi. Airbus A380 inaweza kubeba abiria 850 lakini kwa kawaida hubeba takriban abiria 525, na huzidi tani 550. Ina injini nne za Rolls-Royce Trent 900 au nne ya GP7000.

Alamisho mtandao
                                               

Alamisho mtandao

Katika utarakilishi na mtandao, alamisho mtandao ni rasilimali ya mtandao inayotumika ili kutunzia anuani ya mtandao katika kivinjari. Alamisho mtandao inaitwa kipendwa" kwenye Internet Explorer ya Windows.

Anguko la tarakilishi
                                               

Anguko la tarakilishi

Katika utarakilishi, anguko au anguko la tarakilishi linatokea wakati programu ya tarakilishi kama mifumo ya uendeshaji au programu tete zinaacha kufanya kazi.

Barua taka
                                               

Barua taka

Barua taka ni barua pepe ambayo hatutaki kuipokea. Kisanduku cha barua kinatuma barua taka ndani ya kisanduku cha taka. Kwa kawaida, barua taka hutumwa ili itangaze kitu fulani.

Bawa
                                               

Bawa

Bawa ni kiungo cha mwili wa wanyama mbalimbali kinochawawezesha kuruka hewani. Kutokana na hilo, ni pia jina la sehemu ya ndege inayoiwezesha kuruka na kubaki angani.

                                               

BeOS

BeOS ilikuwa mfumo wa uendeshaji uliotengenezwa na Be Inc na ulioundwa kwa ajili ya matumizi ya midia unuai na matumizi ya kompyuta ya kawaida. Ilifanya matumizi mazuri ya teknolojia ya kutumia vichakato vingi. Palm, Inc. ilinunua Be Inc mwaka 2001 na matoleo mapya ya BeOS hayakufanyika.

Users also searched:

...

Kifaa chakukaangia chipsi bei kitonga.

.tz™ ➔ Hiki kifaa kinatumika kupima kiwango cha mzunguko wa hewa oxygen katika damu yako kinafaa kwa kipindi hiki na baadae piga simu. Kifaa cha utambuzi wa madini kimepunguza imani za Habarileo. Naibu waziri akipokea kifaa maalumu cha kuandikia kwa watu wenye ulemavu wa kuona.


...