Back

ⓘ Ukabidhi wa Wikipedia - Wikimedia Commons, Dola Takatifu la Kiroma ..
                                               

Wikimedia Commons

Wikimedia Commons ni hazina ya kuhifadhia na kutumia faili za picha, za sauti na nyinginezo. Utumiaji wa faili hizo ni huru kwa wikipedia za lugha zote; tena si lazima kuzipakia kwenye wikipedia mojamoja kwa vile zinapatikana kutoka wikipedia zote. Wikimedia Commons ni mradi wa Wikimedia Foundation.

                                               

Dola Takatifu la Kiroma

Dola Takatifu la Kiroma si sawa na Dola la Roma la Kale. Dola Takatifu la Kiroma lilikuwa jina la Ujerumani kati ya takriban mwaka 1000 na 1806. Lakini dola hilo, licha ya Ujerumani, lilikuwa pia na maeneo makubwa, yakiwa ni pamoja na Austria, Italia ya Kaskazini, Ubelgiji, Uholanzi na Ucheki wa leo. Mipaka yake yalibadilika mara kadhaa katika karne nyingi za kuwako kwake.

                                     

ⓘ Ukabidhi wa Wikipedia

  • Utumiaji wa faili hizo ni huru kwa wikipedia za lugha zote tena si lazima kuzipakia kwenye wikipedia mojamoja kwa vile zinapatikana kutoka wikipedia zote
  • la translatio imperii kwa Kilatini: ukabidhi wa mamlaka la kuwa mamlaka ya Kaisari yaliyokuwa na Waroma wa Kale na sasa yalikabidhiwa kwa Wajerumani

Users also searched:

...

MUUNGWANA BLOG.

Wasi waibuka juu ya ukabidhi wa madaraka Marekani. WASHINGTON,​MAREKANI RAIS mteule wa Marekani Joe Biden anaendelea na mipango ya. Songas yatoa vifaa vya usafi vyenye thamani ya mil 10, Ubungo. Kiongozoi mwengine wa upinzani Martin Fayulu ameitaka mahakama ya una ​shaka kubwa na matokeo ya awali yaliotangazwa iliyopita. yataidhinisha ukabidhi wa kwanza wa uongozi kwa mpangilio tangu taifa hilo. JPM aponda sera ya madini ya Chadema Mtanzania. Kassim Majaliwa avunja Mfuko wa Kuendeleza Zao la Pamba. mwa ​Ijumaa, Desemba 22, 2017 wakati akizungumza na wadau wa zao.


...