Back

ⓘ Utamaduni - wa Kiafrika, wa Nigeria, Magharibi, wa Kitanzania, Kalenda ya Kichina, Mapinduzi ya utamaduni, Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika, Ukoo, Ahadi ..
                                               

Utamaduni wa Kiafrika

Utamaduni wa Afrika unajumuisha tamaduni zote ambazo ziliwahi kuweko katika bara la Afrika. Dhana ya utamaduni wa Afrika nzima ilijadiliwa kwa makini katika miaka ya 1960 na 1970 katika muktadha wa harakati ya Négritude, lakini imepoteza mtindo katika masomo ya Afrika. Mpasuko mkuu ni kati ya Afrika ya Kaskazini pamoja na Chad na Pembe la Afrika, ambayo ni sehemu ya ulimwengu wa Kiislamu, na Afrika ya kusini kwa Sahara, ambayo imegawanywa katika idadi kubwa ya tamaduni za kikabila, zikiwemo za Niger-Congo sanasana za Kibantu, Nilo-Saharan katika maeneo ya Sahara na Sahel na sehemu za Afrik ...

                                               

Utamaduni wa Nigeria

Utamaduni wa Nigeria umeumbwa na kabila nyingi za Nigeria. Nchi hii ina zaidi ya lugha 250 na tamaduni mbalimbali. Hata hivyo, kabila kubwa ni Hausa - Fulani ambao ndio wengi kaskazini, Igbo ambao ndio wengi kusini-mashariki na Yoruba ambao ndio wengi kusini. Makabila ya Benin yamejaa katika kanda kati Yorubaland na Niger Delta. Asilimia 80 ya Benin huwa Wakristo wakati asilimia 20 iliyobaki huwabudu Ogu. Wanafuatwa na Ibibio / Annang / Efik watu wa pwani ya kusini mashariki mwa Nigeria na Ijaw wa Niger Delta. Makabila mengine ya Nigeria wakati mwingine huitwa "mini-minorities" hupatikana ...

                                               

Magharibi

Magharibi ni moja kati ya mielekeo minne mikuu ya dira. Mwelekeo wake ni upande wa machweo ya jua. Magharibi ni pia jina la saa ya swala ya jioni ya Waislamu na swala yenyewe. Jina "magharibi" limetokana na neno la Kiarabu مَغْرِب maghrib linalomaanisha sehemu upande wa machweo. Magharibi kawaida huwa upande wa kushoto kwenye ramani. Tanzania iko upande wa magharibi wa Bahari Hindi, Burundi iko upande wa magharibi wa Tanzania, na nchi ya Malawi iko upande wa magharibi wa Msumbiji. Kwa maana ya kiutamaduni kuna mazoea ya kutaja utamaduni wa Ulaya pamoja na Marekani ambayo ni mtoto wa utamad ...

                                               

Utamaduni wa Kitanzania

Utamaduni ni mfumo wa maisha ya watu jinsi wanavyoishi na maendeleo yao kijamii, kiuchumi, kisiasa n.k. Tanzania ni moja kati ya nchi zinazosifika duniani kwa kulinda maadili yao. Kuna makabila yasiyopungua 120 ambayo yote hutunza mila na desturi zao kwa kiasi tofautitofauti. Mambo yanayofanya Tanzania kutunza utamaduni wake ni haya: heshima iliyopo miongoni mwa jamii hii husaidia watu kuwa na maendeleo kwa sababu ya heshima hiyo. Nyingine ni utunzaji wa watoto, wazee, vijana pamoja na walemavu ambao wote ni mazao ya jamii ambapo kila mtu katika jamii hufunzwa kuwahudumia watu waliopo kati ...

                                               

Kalenda ya Kichina

Kalenda ya Kichina ni kalenda ya kidesturi inayoitwa pia kalenda ya Han. Inatumiwa nchini China na pia na watu wanaofuata utamaduni wa kichina penginepo duniani pamoja na Kalenda ya Gregori.

                                               

Mapinduzi ya utamaduni

Mapinduzi ya utamaduni ni mageuzi ya haraka katika siasa na jamii nchini China yaliyotokea katika miaka 1966 - 1976 chini ya uongozi wa Mao Zedong, mwenyekiti wa Chama cha Kikomunisti cha China. Lengo lilikuwa kusafisha ukomunisti kutoka mabaki yoyote ya utamaduni asili wa nchi hiyo pamoja na ubepari, lakini pia kuimarisha uongozi wa Mao katika chama. Matokeo yalikuwa aina ya ibada kwa Mao, makumbusho mengi kubomolewa, dhuluma za kila namna dhidi ya mamilioni ya wananchi, watu kuhamishwa kwa lazima, nchi kupooza kisiasa pamoja na kuiathiri kiuchumi. Mapinduzi hayo yaliathiri Ulaya pia na k ...

                                     

ⓘ Utamaduni

  • Mapinduzi ya utamaduni ni mageuzi ya haraka katika siasa na jamii nchini China yaliyotokea katika miaka 1966 - 1976 chini ya uongozi wa Mao Zedong, mwenyekiti
  • na mara nyingi linaendana na aina ya ibada. Linaweze kuwa na namna nyingi, kadiri ya utamaduni wa wahusika. Wikimedia Commons ina media kuhusu: Kaburi
  • Utamaduni wa Nok ulikuwa ustaarabu wa kale katika maeneo ya Nigeria ya sasa. Ulitokea mnamo mwaka 1000 KK na kutoweka mnamo 300 BK. Ustaarabu huo ulitambuliwa
  • Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kwa kifupi TASUBA ni taasisi ya kiserikali ya mafunzo, utafiti na ushauri katika sanaa. Taasisi hiyo ilianzishwa
  • na muunganiko wa familia kadhaa zenye asili moja. Mara nyingi huwa na utamaduni na lugha moja. Ukoo huundwa na vizazi mbalimbali ambapo mila na desturi
  • ambayo wanapewa watu, wanyama, nchi, vitu n.k. kwa ajili ya utambulisho. Utamaduni kwa njia ya sheria au desturi, ndio unaoratibu namna ya kupanga na kutumia
  • Sumbawanga na Nkansi. Lugha yao ni Kifipa. Hapo awali, miaka ya 1880, waliongozwa na Mtemi Kapufi wa Nkansi. Historia na Utamaduni wa Wapimbwe - Peter Mgawe
  • mji wa Aleksandria Misri Unadhaniwa na wanahistoria wengi kuwa ni utamaduni anzilishi wa ustaarabu wa magharibi lakini iliathiri pia elimu ya Waislamu
  • Kigiriki ni muhimu sana kwa utamaduni wa kisasa kwa sababu ya kutoa michango mingi kwa lugha ya sayansi, teknolojia na utamaduni Fikra nyingi muhimu zilionekana
  • Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York
Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika
                                               

Orodha ya Urithi wa Dunia katika Afrika

1986 - Utamaduni - Zimbabwe Kuu 2003 - Utamaduni - Hifadhi ya Taifa ya Matobo 1984 - Asili - Hifadhi ya Taifa ya Mana Pools 1986 - Utamaduni - Khami

Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki)
                                               

Wizara ya Utamaduni na Utalii (Uturuki)

Wizara ya Utamaduni na Utalii ni ofisi ya wizara ya serikali ya Jamhuri ya Uturuki, inahusika na masuala ya utamaduni na utalii nchini Uturuki. Kwa mwaka wa 2018, inaongozwa na Mehmet Ersoy.

Ukoo
                                               

Ukoo

Ukoo ni chanzo na muunganiko wa familia kadhaa zenye asili moja. Mara nyingi huwa na utamaduni na lugha moja. Ukoo huundwa na vizazi mbalimbali ambapo mila na desturi zao huendelezwa na kuhifadhiwa kwa faida ya vizazi vya baadae. Mfano mmojawapo ni ukoo wa Mkwawa uitwao ukoo wa Mwamuyinga.

Ahadi
                                               

Ahadi

Ahadi ni hali ya kuaminisha au kumuaminishia mtu au watu juu ya jambo fulani ambalo unatarajia kulitimiza na kulitekeleza kwa mtu au watu. Kwa mfano, ahadi yaweza kutolewa kama zawadi, shukrani na hata pongezi kwa mtu fulani. Msemo muhimu unafundisha kwamba "Ahadi ni deni". Hata hivyo mara nyingi ahadi ni za uongo au hazitimizwi kwa wakati uliopangwa.

Doria
                                               

Doria

Doria ni kundi la wafanyakazi, kama vile maafisa wa utekelezaji wa sheria au wafanyakazi wa kijeshi, ambao ni wa kufuatilia eneo fulani la kijiografia kuwa ni salama. Watu ambao wanafanya doria hulipwa kiasi fulani cha fedha, pia hutumia silaha mbalimbali kama bunduki, kirungu cha mpingo n.k.

Fimbo
                                               

Fimbo

Fimbo ni kijiti kirefu ambacho kinatumika kwa namna nyingi ili kufikia mbali kuliko mkono wa mtu. Kwa mfano fimbo hutumika kuua nyoka au kutoa adhabu kwa kuchapa mtoto kutokana na kosa fulani. Katika michezo mbalimbali, kama kriketi, baseball, mchezo wa pool na mingineyo.

                                               

Tuesday Kihangala

Tuesday Kihangala ni mwongozaji na mtunzi wa filamu kutoka nchini Tanzania. Aliwahi kuigiza kidogo sana katika kundi la sanaa la Kaole, na baadaye kwenda kujianzishia kundi lake mwenyewe la maigizo ya sanaa nchini Tanzania. Kundi linakwenda kwa jina la "Fukuto" lenye makazi yake huko Kinondoni jijini Dar es Salaam, Tanzania. Hivi karibuni wanatamba na tamthilia ya Jumba la Dhahabu, inayoonyeshwa na Televisheni ya Taifa ya Tanzania.

                                               

Kikuba

Kikuba ni pambo la manukato linalotengenezwa kwa kulichaganya pamoja na asumini, rehani, kilua na mkadi ambalo huvaliwa shingoni au huwekwa juu ya matiti ya mwanamke kumpendezesha na huwa na harufu nzuri.

Leso
                                               

Leso

Leso ni kitambaa cha kawaida chenye umbo la mraba kilichotengenezwa kwa pamba au nguo nyingine ambayo inaweza kuingia katika mfuko au mkoba, na ambayo ina lengo la usafi wa binafsi kama kuifutia mikono au uso, au kufutia damu, lakini hasa kamasi.

Poppet
                                               

Poppet

Poppet ni midoli ambayo hufanywa kama kuwakilisha mtu, lengo likiwa kusaidia kwa mambo ya kichawi. Mara kwa mara hupatikana ndani ya moshi. Wanasesere hawa wanaweza kutengenezwa kutokana na vifaa kama vile mzizi wa kuchonga, nafaka au miti ya mahindi, matunda, karatasi, nta, viazi, udongo, matawi, au kitambaa kilichosheheni mimea kwa nia ya kuwa vitendo vyovyote vimefanya sanamu itahamishiwa kwa somo kulingana na uchawi wa huruma.

Users also searched:

...

Sherehe za kitaifa.

Rais wa Zanzibar aipongeza UNESCO TADIO – Tanzania. Tangu tupate uhuru mwaka 1961 na Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka. 1964. Imekuwa a Kuandaa Sera ya Urithi wa Utamaduni na kufanya utafiti maalumu​. Muungano wa tanganyika na zanzibar. Jeshi la Kujenga Uchumi JKU mwanzo. SERIKALI YA MAPINDUZI YA. ZANZIBAR kukuza mila na utamaduni wa taifa. 1.1.4. Jannil pla hutumia na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar juu ya Elimu. Kwa.


...