Back

ⓘ Wakati - Wakati, Mwezi, wakati, Muda sanifu wa dunia, Asubuhi, Siku, Kitenzi, Vielezi vya wakati, Antipapa, Saa, Mchana, Greenwich Mean Time ..
                                               

Wakati

Wakati ni neno la kutaja ama ufuatano wa matokeo au muda ama kipindi ambamo jambo latokea. Tunaishi katika wakati na tunapanga maisha yetu kufuatana na wakati lakini si rahisi kusema wakati ni kitu gani. Sayansi, fizikia, falsafa na dini zote zina njia mbalimbali za kuangalia na kueleza wakati.

                                               

Mwezi (wakati)

Uso wa mwezi jinsi unavyoonekana duniani hubadilikabadilika. Mwezi mpevu unaonekana kama duara kamili la kungaa lakini baada ya kuonekana hivi umbo lapungua kila siku hadi kutoonekana kabisa na hali hii huitwa mwezi mwandamo. Baadaye mwezi unaonekana tena kama hilali nyembamba na kuongezeka hadi kuwa duara tena. Muda wa mabadiliko yote kupita mara 1 ni siku 29 1/4. Muda wa mabadiliko kati ya mwezi mwandamo hadi kupotea na kuwa mwezi mwandamo tena ni kati ya siku 28 - 29. Kipindi hiki kinakumbukwa kirahisi, kinatazamiwa na watu wote wakati uleule kwa hiyo pamoja na kipindi cha siku kilikuwa ...

                                               

Muda sanifu wa dunia

Muda sanifu wa dunia ni utaratibu wa kulinganisha saa na wakati kote duniani. Unarejea wakati kwenye longitudo ya Greenwich karibu na London na longitudo hii huitwa pia meridiani ya sifuri.

                                               

Asubuhi

Asubuhi ni kipindi cha siku ambacho kinaleta mwanga wa kwanza wa mchana baada ya giza la usiku. Kwa binadamu na wanyama wengi ndio wakati wa kuamka kwa kutoka usingizini ili kuanza shughuli mbalimbali. Katika dini mbalimbali, ni wakati muhimu wa sala.

                                               

Siku

Mabadiliko hayo ya mchana na usiku husabibishwa na mzunguko wa dunia kwenye mhimili wake. Upande wa dunia unaotazama jua unapata mwanga wa mchana lakini upande mwingine usiotazama jua unakuwa gizani. Sisi pamoja na vitu vyote vilivyo juu ya uso wa dunia, yaani bahari, mito, milima, binadamu, misitu, majangwa, majengo, barabara na kila kitu unachoweza kuwaza kuwa kipo kwenye uso wa dunia, basi vyote huwa katika mwendo kadiri dunia inavyojizungusha kwenye mhimili wake. Hivyo basi, wakati upande ule wa uso wa dunia tulipo unapogeukia au kutazamana na jua, basi kwetu inakuwa mchana, pale ambap ...

                                               

Kitenzi

Kitenzi ni istilahi ya sarufi kwa maneno yanayotaja matendo kama vile kufanya, kwenda, kulala, kupiga, kuishi na kadhalika. Lugha nyingi zinatumia vitenzi ingawa kuna pia lugha zisizoweka tofauti kati ya vitenzi na majina.

                                     

ⓘ Wakati

  • Kwa wakati mmoja, jua linaangaza karibu nusu ya dunia. Huko ni mchana, kumbe katika nusu ya pili ni usiku. Kwa binadamu na wanyama wengi ndio wakati wa
  • Bahari Hindi kwenye mji wa Lindi. Mto Lukuledi una urefu wa takriban km 160. Wakati wa ukame maji si mengi, lakini kwenye km 40 za mwisho kabla ya mdomo maji
  • huonyesha saa ileile. Saa zetu zinalenga kulingana na mwendo wa jua angani. Wakati wa jua kufika kwenye kilele chake angani kabisa ni katikati ya mchana au
  • mojawapo ya sanaa. Kwa kawaida watu hupigwa picha wakati wa harusi, ubatizo, mazishi, mahafali au wakati mwingine wowote ambapo ungependa kuuhifadhi katika
  • KK. Mwaakmpya unaanza kwenye siku ya mwezi mwanadamu wa mwezi wa Chaitra inayotokea wakati wa ama Machi au Aprili. Mwezi hufuata awamu halisi za mwezi.
  • maisha ya binadamu na utamaduni wao wakati uliopita. Mara nyingi neno hilo lina pia maana ya maarifa yoyote kuhusu wakati uliopita, yawe au yasiwe maarifa
  • ya mikono ni marufuku isipokuwa kwa mlinda mlango katika eneo maalumu na wakati wa kurudisha mpira baada ya kutoka nje ya uwanja. Michezo mbalimbali ya
  • ya miaka ilianza 552 katika Kalenda ya Gregori. Mwanzo wa mwaka hutokea wakati wa Julai. Ilikuwa ni kalenda ya jua lenye miezi 12 ya siku 30 na mwezi mmoja
  • kazi mbalimbali. Hii imechukuliwa na wataalamu wengi kama dalili ya kwamba wakati huo kile cha episkopos hakikuwa bado cheo cha kawaida katika shirika zote
  • hii ilianzishwa mwaka 527 BK na mmonaki Dionysius Exiguus alipokuwa Roma. Wakati ule mahesabu mbalimbali ya miaka yalikuwa kawaida. Mwaka uleule uliweza
                                               

Vielezi vya wakati

Vielezi vya wakati vinaweza kuwa vya: Matukio ya Kihistoria, n.k. Nyakati za siku Majina ya miezi Majira ya mwaka Wiki Majina ya siku Mwaka Mifano Wakulima hupanda wakati wa vuli! Harusi yake itafungwa Jumapili hapa inataja majina ya siku katika juma. Masanja alizaliwa wakati wa vita ya majimaji hapa inarejea tukio la kihistoria. Nitasafiri wiki ijayo hapa inataja wiki Ashura alitoroka majogoo. Jambazi sugu ameuawa leo usiku.

Antipapa
                                               

Antipapa

Antipapa ni jina linalotumiwa na wanahistoria kumtajia askofu yeyote aliyejidai kuwa Papa wa Roma, lakini madai yake hayakukubaliwa na wengi wakati wake, au hayakubaliwi na Kanisa Katoliki wakati huu.

Saa
                                               

Saa

Kwa chombo cha kupimia wakati tazama saa ala Saa ni kipimo cha wakati. Si kipimo cha SI kamili kama ilivyo sekunde lakini ni kawaida kote duniani pia katika matumizi ya kisayansi. Saa inagawiwa kwa dakika 60 na sekundi 3.600. Siku ina takriban masaa 24.

Mchana
                                               

Mchana

Mchana ni kipindi chote cha siku ambapo nuru ya jua inaangaza sehemu fulani ya dunia. Kinyume chake ni usiku. Kwa wakati mmoja, jua linaangaza karibu nusu ya dunia. Huko ni mchana, kumbe katika nusu ya pili ni usiku. Kwa binadamu na wanyama wengi ndio wakati wa utendaji mwingi zaidi.

Greenwich Mean Time
                                               

Greenwich Mean Time

Greenwich Mean Time ni kipimo cha wakati kwa ajili ya kanda muda. Mahali pa kipimo hicho ni mji wa Greenwich ambao siku hizi ni sehemu ya jiji la London, Uingereza.

Users also searched:

...

Kitenzi kisaidizi.

SOMO LA: KISWAHILI KIDATO: CHA KWANZA MADA. Kitenzi cha Kitikuu kama. Kiswahili Sanifu kinaundwa na mofimu mbalimbali. Mofimu mojawapo ni ile ya hali. Hali huangalia jinsi kitendo husika kinavyotendeka. Kitenzi kishirikishi. Kuchamba kwingi mwisho huondoa … IPPMEDIA. Ni kipashio ambacho sio lazima kiwe na kitenzi. Kwa kawaida kirai ni kikubwa kuliko neno lakini ni kidogo zaidi ya kishazi. Katika kiwango hiki miundo ya tungo​.


...