Back

ⓘ Watu - Binadamu, Jamhuri ya Watu wa China, wazima, Waturkana, weusi, Wala watu wa Tsavo, Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu, Buchner ..
                                               

Binadamu

Binadamu ni neno lenye asili ya Kiarabu linalomaanisha "Mwana wa Adamu", anayeaminiwa na dini za Uyahudi, Ukristo na Uislamu kuwa ndiye mtu wa kwanza.

                                               

Jamhuri ya Watu wa China

China pia: Uchina, Sina ; kirefu: Jamhuri ya Watu wa China ni nchi kubwa ya Asia ya Mashariki ambayo ndiyo nchi yenye watu wengi kuliko zote duniani. China imepakana na Vietnam, Laos, Myanmar, India, Bhutan, Nepal, Pakistan, Afghanistan, Tajikistan, Kyrgyzstan, Kazakhstan, Urusi, Mongolia, Korea ya Kaskazini. Kuna pwani ndefu kwenye Bahari ya Kusini ya China na Bahari ya Mashariki ya China ambazo ni bahari ya kando ya Pasifiki. China kuna makabila 56 tofauti. Wahan ndio kabila kubwa zaidi nchini China kwa idadi ya watu ikiwa na asilimia 92. Lugha rasmi ni Kichina cha Mandarin kinachotumiwa ...

                                               

Watu wazima

Watu wazima Kibiolojia linaweza kumaanisha watu wale walio hai, hasa wakiwa na afya njema, tofauti na wafu na wagonjwa. Lakini kwa kawaida linatumika kutofautisha wale waliofikisha umri au kuwa na uwezo wa kuzaa na watoto. Kwa kwenda mbali zaidi, maneno hayo yanatofautisha waliokomaa kiutu na vijana pia ambao, ingawa wameshabalehe, hawana ukomavu ule unaohitajika kukabili majukumu yote katika jamii, hasa chini ya miaka 18. Kwa msingi huo, sheria zinawapangia haki na wajibu kadiri ya nchi. Kwa nchi kama Tanzania pengine utu uzima unahesabika kuanza miaka 40 Habari hii inatakiwa kuthibitishw ...

                                               

Waturkana

Waturkana ni watu wa jamii ya Waniloti wa Kenya, idadi yao ikiwa karibu 340.000. Ni wakazi wa Kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya, eneo kame na kavu linalopakana na Ziwa Turkana upande wa mashariki. Kusini kwao wanaishi Wapokot Wapökoot, Warendille na Wasamburu. Lugha ya Waturkana, lugha yenye asili ya Kiniloti cha Mashariki, hujulikana kama Kiturkana; jina lao kwa lugha hii ni Ngaturkwana. Waturkana wanajulikana kwa kufuga ngamia na kushona vikapu. Katika fasihi simulizi zao, hujiita watu wa fahali ya kijivu, kutokana na Zebu, ambaye ukuzaji wake una nafasi muhimu katika hist ...

                                               

Watu weusi

Watu weusi ni msamiati unaotumika mara nyingi kumaanisha watu kutoka Afrika kusini kwa Sahara au watu wenye asili kutoka hapa. Lakini si istilahi kamili kwa sababu kwanza kuna tofauti kubwa duniani ni watu gani wanaotazamwa kuwa "weusi" halafu kuna pia watu wenye rangi ya ngozi hiyo nyeusi kiasi au ya kahawia katika maeneo mbalimbali ya dunia, kuanzia India kusini kupitia Papua Guinea Mpya, Australia hadi Visiwa vya Melanesia "visiwa vya Watu Weusi" katika Bahari ya Pasifiki, ambao wote hawana uhusiano na Afrika zaidi ya binadamu wote. Halafu wako watu wengi wenye asili ya Afrika waliopele ...

                                               

Wala watu wa Tsavo

Wala-Watu wa Tsavo walikuwa Simba wawili waliojulikana sana kwa kuwala binadamu. Simba hawa walisababisha vifo vya idadi kubwa ya wajenzi wa Reli ya Kenya-Uganda, tangu Desemba, 1898.

                                     

ⓘ Watu

 • Hii ni orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu kwa kila km² takwimu za mwaka 2015 Misri yote imejumuishwa, ingawa sehemu ya eneo la
 • takwimu za idadi ya binadamu. Inaweza kuhusu mabadiliko yoyote ya makundi ya watu mbalimbali kadiri ya mahali na wakati, k. mf. kulingana na wengine kuzaliwa
 • Jina ni neno au maneno ambayo wanapewa watu wanyama, nchi, vitu n.k. kwa ajili ya utambulisho. Utamaduni, kwa njia ya sheria au desturi, ndio unaoratibu
 • upendo baina ya watu husika. Jamii bora inahitaji watu wenye upendo: watu wakipendana huweza kuishi na kujenga jamii bora, hivyo ni vyema watu wa sehemu husika
 • idadi ya watu au vitu vilivyopo, vimekusanyika, au vinavyowekwa pamoja. Neno hilo limekuwa likitumika mara nyingi kuonyesha mkusanyiko wa watu wanyama
 • ya watu mbalimbali wenye nguvu au mamlaka. Katika demokrasia kila mtu ana kiasi fulani cha nguvu, kwa hiyo siasa ya demokrasia ina maana ya watu wote
 • ya nchi za Waswahili pia huitwa hivyo pwani na mbali sana na ufukwe panaitwa bara. Hali kadhalika watu waishio maeneo ya pwani huitwa watu wa pwani.
 • kikundi cha watu Mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika jamii, kikundi cha watu au katika familia ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo
 • zilifanywa na serikali, viongozi na wafuasi wa dini na madhehebu tofauti, na watu wengine. Baadhi ya wataalamu wanakadiria Wakristo 70, 000, 000 waliuawa, wengi
 • kutiririka mwaka mzima, au mvo wa bonde la mmomonyoko. Hata hivyo chini ya mchanga wake mara nyingi watu huenda kuchota maji katika mazingira ya ukame.
 • X - Men Kiswahili: Watu - X ni timu ya supa - mashujaa wa mutanti wa ulimwengu wa Marvel Comics. Professor X Profesa X - Mwanazalishi wa X - Men na mkuu wa
 • kumhamasisha mtu mweusi kuwa juu na bora zaidi kwa watu wa rangi nyingine hivyo basi, watu weusi waweze kuwashinda watu ambao sio weusi katika nyanja zote yaani
Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu
                                               

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu

Hii ni orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu kwa kila km². Misri yote imejumuishwa, ingawa sehemu ya eneo la Misri inapatikana Asia. Saint Helena, ikiwa imekaribiana sana na Afrika, imejumuishwa pia.

                                               

Buchner

Buchner ni jina la kaka yake Hans Buchner 1850-1902, daktari Mjerumani Eduard Buchner 1860-1917, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907 na Hans Buchner mwingine 1483-1538, mtungaji wa muziki Mjerumani

                                               

Dhothar

Dhothar ni jina la ukoo wa Jat. Akina Dhothar huishi katika Punjab, pande zote Pakistan na Uhindi. Akina Dhothar wa Pakistan ni Waislamu na wale wa Uhindi hufuata dini ya Kalasinga.

Users also searched:

...

Utawala na Rasilimali watu Mlele District Council.

No. REGION. PRAGRAMME OFFERED. CONTACTS. 1. ARUSHA. non formal secondary education. certificate in law. Diploma in adult and continuing education. WARSHA YA KUJADILI KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA. 1.2.15 Vyama vya Watu Wenye Ulemavu na vya Kuhudumia imekuwa inatoa huduma kwa watu wenye ulemavu bila kuwa na sera timilifu. Kuwapo kwa Sera.


...