Back

ⓘ Jeshi - Jeshi, la majini, la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Jekundu, la anga, Majeshi ya Ulinzi ya Kenya, la Misri, la ardhi, la Kujenga Taifa, Askari, Manuva ..
                                               

Jeshi

Jeshi ni jumla ya watu wanaopewa mamlaka ya kutumia nguvu ya silaha kutetea nchi kwa niaba ya dola au kutekeleza maagizo ya serikali dhidi ya maadui wa nje. Neno linatumika hasa kwa kutaja jeshi la ardhi, jeshi la wanamaji na jeshi la anga.

                                               

Jeshi la majini

Jeshi la majini au Jeshi la wanamaji ni kitengo cha pekee cha jeshi la mataifa mengi kilicho tayari kushindana na maadui kwenye maji hasa baharini. Linajumlisha askari, manowari, meli za kuasaidia manowari, mabandari ya pekee na vituo vingine na pia eropleni za vita ya bahari. Ni hasa nchi zenye pwani la bahari ambako kuna jeshi la pekee la wanamaji. Chanzo katika historia yalikuwa majeshi ya wanamaji ya Karthago, Ugiriki ya Kale na Dola la Roma. Tangu karne ya 19 Uingereza ilikuwa na jeshi la wanamaji kubwa duniani, na katika karne ya 20 nafasi yake ilichukuliwa na wanamaji wa Marekani ha ...

                                               

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania ni jeshi lililoanzishwa mnamo mwezi Septemba katika mwaka wa 1964. Ilichukua nafasi ya jeshi la Tanganyika Rifles lililorithiwa na ukoloni wa Waingereza.

                                               

Jeshi Jekundu

Jeshi Jekundu lilikuwa jina la majeshi ya Umoja wa Kisovyeti tangu kuanzishwa kwake hadi mwaka 1946.

                                               

Jeshi la anga

Jeshi la anga ni jeshi linalotumia ndege n.k. Jeshi la anga hutumia ndege hizo kwa ajili ya kusafirisha wanajeshi na mabomu kama sehemu wanayokwenda kushambulia ni mbali sana na walipo.

                                               

Majeshi ya Ulinzi ya Kenya

Majeshi ya Ulinzi ya Kenya ni vikosi vya kijeshi vya Jamhuri ya Kenya: Jeshi la Ardhi la Kenya, Jeshi la Wanamaji la Kenya, na Jeshi la Anga la Kenya huunda vikosi vya ulinzi. Muundo wa sasa wa majeshi hayo ulifanywa mwaka 2010 na Katiba ya Kenya ya 2010. Aidha, KDF huongozwa na Sheria ya Majeshi ya ulinzi ya Kenya ya mwaka 2012. Rais wa Kenya ndiye Amirijeshi mkuu. Mara kwa mara, vikosi hivyo vimehusika katika ulinzi wa amani duniani. Tume ya Waki, ilipongeza utayari wake na kuvichukulia "kuwa walitimiza wajibu wake vizuri." katika vurugu ya mwaka 2008 Hata hivyo, kumekuwa na madai makubw ...

                                     

ⓘ Jeshi

 • Kambi ya jeshi Lugalo ni kambi kubwa ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania iliyoko jijini Dar es Salaam kwenye barabara ya Bagamoyo. Ilianzishwa wakati
 • Makumbusho ya Jeshi ni makumbusho ya historia ya jeshi yanayopatikana Kumasi nchini Ghana, yalianzishwa mwaka 1953. Ikulu ya Manhyia Makumbusho ya Taifa
 • Schutztruppe tamka shuts - tru - pe Kijerumani kwa Jeshi la Ulinzi ilikuwa jina la jeshi la kikoloni la Ujerumani hadi Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Ilifanywa
 • Jeshi la Ardhi la Kenya ni tawi la wanajeshi wa ardhini la Majeshi ya Ulinzi ya Kenya. Jeshi la leo lilitokana na King s African Rifles. Mwezi Agosti
 • ulinzi na usalama katika nchi, pia hufanya kazi hiyo kama sehemu ya jeshi Askari anaweza kuwa mtu aliyechaguliwa, afisa asiyeagizwa, au afisa wa jeshi
 • wanajeshi wa kawaida. Katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania vyeo vya maofisa vimepokewa kutoka jeshi la kikoloni vikifuata mfumo wa jeshi la Uingereza. Maofisa
 • Jeshi la Anga la Kenya ni tawi la Majeshi ya Ulinzi ya Kenya kwa ajili ya vita vya hewani. Moi Air Base, Eastleigh ndio makao makuu. Jeshi la Anga la Kenya
 • Meja kwa Kiingereza: Major ni cheo cha afisa wa jeshi kilicho chini ya Luteni Kanali na juu ya Kapteni au Nahodha katika jeshi la wanamaji.
 • huwa kiongozi wa ngazi ya juu katika jeshi Idadi ya majenerali si kubwa. Kazi yao ni kuongoza na kupanga kazi ya jeshi Kwa kawaida hawashiriki wenyewe katika
 • Jeshi la Wanamaji la Kenya ni tawi la Majeshi ya Ulinzi ya Kenya upande wa baharini. Makao makuu yako katika mji wa Mombasa. Jeshi la Wanamaji la Kenya
 • kutoka Kiingereza: Lieutenant pia Luteni wa Kwanza, ni cheo cha afisa wa jeshi kilicho chini ya Kapteni na juu ya Luteni wa Pili. Asili ya neno ni Kifaransa
Jeshi la Misri
                                               

Jeshi la Misri

Jeshi la Misri ni vikosi vya kijeshi vya nchi ya Misri. Jeshi hilo ndilo kubwa katika Afrika na Mashariki ya Kati, likiwa na wanajeshi wa nchi kavu, wa baharini, wa angani na Jeshi la Wananchi. Lilianzishwa mwaka 1922.

Jeshi la ardhi
                                               

Jeshi la ardhi

Jeshi la ardhi ni mkono wa jeshi la nchi unaojumlisha vikosi vyote vilivyo tayari kupigania maadui kwenye nchi kavu, tofauti na mikono mingine inayoshughulika kazi ya ulinzi wa taifa baharini au hewani. Watu kwenye jeshi la ardhi huitwa askari au wanajeshi. Hupangwa kwa vikosi mbalimbali wakitumia silaha na vifaa kama vile bunduki, mizinga, vifaru, helikopta na mengine.

                                               

Jeshi la Kujenga Taifa

Jeshi la Kujenga Taifa ni tawi la jeshi la Tanzania. Liliasisiwa tarehe 10 Julai 1963 kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa vijana wa Kitanzania juu ya uzalendo, maadili pamoja na nidhamu.

                                               

Amirijeshi mkuu

Amirijeshi mkuu (kwa Kiingereza: "commander-in-chief" ni kiongozi wa majeshi yote katika nchi fulani. Kwa mfano nchini Tanzania amirijeshi mkuu ni rais: ndiye anayetoa amri kwa majeshi yake. Kwa sasa amirijeshi wa sasa Tanzania ni John Pombe Magufuli.

Askari
                                               

Askari

Askari ni mtu ambaye anahusika na mambo ya ulinzi na usalama katika nchi, pia hufanya kazi hiyo kama sehemu ya jeshi. Askari anaweza kuwa mtu aliyechaguliwa, afisa asiyeagizwa, au afisa wa jeshi.

Brigedia
                                               

Brigedia

Brigedia ni cheo cha jeshi, ukamilifu ambao unategemea nchi. Katika nchi nyingine, ni cheo cha juu kuliko koloneli, sawa na mkuu wa brigedi, kwa kawaida amri ya brigedi ya askari elfu kadhaa. Katika nchi nyingine, ni cheo ambacho hakijatumiwa.

Manuva
                                               

Manuva

Manuva, ni mbinu na mikakati makini kama vile ya kivita. Wanajeshi wanafanya mazoezi mengi makali ya namna hiyo yakihusisha mwili na akili ili kujihakikishia ushindi katika mapigano.

Users also searched:

jwtz ajira 2020,

...

Jwtz.

Mwanzo Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais JOHN MAGUFULI AU wazitaka Kenya na Somalia kurejesha uhusiano wa nchi hizo. Wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa. Bunge Polis Parliament of Tanzania. Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi na Zambia na pia Mikongo ya Baharini ya Kuhusisha kikamilifu majeshi ya ulinzi na usalama katika kulinda. Historia ya venance mabeyo. Serikali ya Tanzania yatuma Majeshi Mpakani na Serengeti Post. Mheshimiwa Mwenyekiti, Sheria ya Ulinzi wa Taifa na Kanuni za Majeshi ya Ulinzi, Mheshimiwa Naibu Spika, mipaka yetu upande wa Kenya na upande wa. Kambi za jeshi tanzania. Kwa habari na uwazi Page 364 ZanzibarLeo Newspaper. SURA YA 11 – Taratibu za Kiusalama kwa Majeshi ya Usalama walioko chini ya ulinzi na uangalizi wao, pia ni muhimu kwa jamii kuelewa jukumu la maofisa wa polisi. vile ni katika vurugu za uchaguzi za mwaka 2007 nchini Kenya.


...